FAHAMU MAMBO MUHIMU YENYE UTHIBITISHO WA COMRADE MWIGULU NCHEMBA KUWA SOKOINE MPYA WA TANZANIA.
Mwigulu Nchemba anafanana na "SOKOINE" Uchunguzi uliofanywa na chanzo cha kujitegemea umebaini kuwa mwanasiasa wa kutumainiwa kwa sasa Mwigulu Nchemba anafanana kwa kuwango kikubwa na Sokoine. Uchunguzi huu umefanyika baada ya watu mbalimbali kuanza kumuita kiongozi huyo kwa jina la "SM" Yaani"SOKOINE MPYA".
Uchunguzi umebaini Mwigulu pamoja na kwamba hajamfikia Sokoine kwa kuwa hajafikia cheo cha kuongoza shughuli za serikali yaani waziri mkuu, nyendo, tabia na hulka yake kiuongozi zinafanana na za SOKOINE. Mfano.
1). Mwigulu ameonesha kuchukia na kuikataa RUSHWA KWA VITENDO. Mifano iliowagusa watanzania ni pale wafanya biashara wakubwa walipokwenda na masanduku ya pesa Dodoma kushawishi wasifutiwe misamaha ya kodi.
Taarifa sahihi za usalama wa taifa zikaweka wazi kuwa wabunge walihongwa na baadhi ya mawaziri
walihongwa ili wamzuie Mwigulu kufuta misamaha ya kodi kwa matajiri. Mwigulu akadimama imara na kufuta misamaha hiyo ili fedha hizo zikasaidie masikini.
walihongwa ili wamzuie Mwigulu kufuta misamaha ya kodi kwa matajiri. Mwigulu akadimama imara na kufuta misamaha hiyo ili fedha hizo zikasaidie masikini.
Mfanyabiashara mmoja alisikika akusema huyu jamaa waajabu sana, hasomeki yaani akimaanisha hahingeki, amefutia watu misamaha. Kwenye mafuta tu mtu mmoja husamehewa zaidi ya bilioni miamoja, ningempa hata bilioni kumi lakini jamaa anasema kwenye maisha ya watanzania masikini hakuna kujadili lipeni kodi tu.
Huu sio uvumi Mwigulu alimvaa sipika live bunge likiwa linaendelea kwa ukali akamwambia hakubaliani naye kuhusu kuchelewweshwa hoja ya kufuta misamaha. Pia Mwigulu aliwakemea wabunge na kamati ya bajeti walipotaka misamaha iliyopangwa kufutwa isifutwe.
Kamati wakamwita Waziri mkuu na Spika kumsema mwigulu na waziri wa Fedha , Mwigulu akawambia
kamati mbele ya waziri mkuu na spika kuwa nanukuu, sikuteleza niliyowambia, sikukosea niliyowambia, wala hamkunisikia vibaya, nafuta misamaha kwa matajiri ili masikini wapate elimu bure, ili masikini wasioweza kwenda kutibiwa India wapate dawa, ili watoto wa masikini wapate mikopo ya elimu ya juu, ili masikini wapate maji safi .
kamati mbele ya waziri mkuu na spika kuwa nanukuu, sikuteleza niliyowambia, sikukosea niliyowambia, wala hamkunisikia vibaya, nafuta misamaha kwa matajiri ili masikini wapate elimu bure, ili masikini wasioweza kwenda kutibiwa India wapate dawa, ili watoto wa masikini wapate mikopo ya elimu ya juu, ili masikini wapate maji safi .
Wafanyabiashara walioziea kukwepa kodi, kuiba na kupata huduma kwa kodi za wafanyakazi masikini na wenye mishahara midogo sasa mwisho.
Acheni kuishi mifukoni mwa matajiri na kutumwa na wenye mali. Nafuta misamaha yote isiyo na tija. Na
kweli ikafutwa.
kweli ikafutwa.
2) Mwigulu ameonekana kukataa rushwa waziwazi kwa kukamata wahujumu uchumi. Aliwakamata mpaka wa Tanzania na Malawi waliokuwa wakipitisha makontena bila kodi, amewakamata wahindi wale waliokwepa bilioni kumi na zaidi.
Wachunguzi wanasema sio kwamba mambo haya hayajulikani bali watumishi wasiowaaminifu walikuwa wanapewa rushwa wanatulizwa wanaendelea kuruhusu watu wakwepe kodi.
Wananchi wengi wabaamini mwigulu asingekuwa mzalendo angepewz hata bilioni 5 kati ya kumi awache wahindi wale wakwepe bilioni 10 hizo na zaidi ya bilion mia wanazodaiwa. Mwigulu aliwambia ninyi mnaokwepa kodi ndio mnasababisha masikini wakose dawa, maji, elimu, ndio mnasababisha wafanyakazi walipe kodi kubwa na walipwe mishahara midogo.
Nawapeleka mahakamani kwa kuhujumu uchumi, nitawafilisi.
3) Mwigulu anafanana na Sokoine kwa kutokuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali kama vijana wengi wakizazi cha leo wanapopewa fursa za uongozi. Uchunguzi umeonesha mpaka sasa Mwigulu hana gari yeye kama yeye, alikuwa akitumia gari la CCM, na baada ya kupata uwazi akaanza kutumia gari la Serikali.
Mwigulu hamiliki gari, wenzake wakipata madaraka miezi miwili tu unawaona na benzim BMW na mashangingi. Mwigulu hana nyumba, uchunguzi unaonesha ndio amemaliza kijumba alichowajengea wazazi wake kijijini, wenzake ile tu kuwa mweka hazina wa chama walitajirika na kujenga
mahekalu, makasri, magorofa na viwanja kila mtaa.
Uchunguzi unaonesha Mwigulu ana account NMB yenye takriban milion 4 (nne) na CRDB takribani milion 2 (mbili). Kwa kitendo cha kutokuwa na nyumba, kutokumiliki gari na umasikini huu wananchi wanamfananisha na Nyerere kwa kutokuwa na tamaa. Zipo taarifa kuwa Mwigulu hajui hata kuendesha gari.
Aliyewahi kumwona Mwigulu akiendesha gari aseme
4) Mwigulu anafananishwa na Sokoine kwa ujasiri wa kuwakemea walaji wa mali ya umma. Alimkemea Mbowe waziwazi, aliwakemea wabunge walipotaka walipwe laki 7 kwa siku badala ya laki 3.
Nanukuu, " Hatujakodisha wabunge toka Marekan, au kenya au ulaya kama
consultant kuja kutunga katiba, kazi hii ni ya taifa letu, anyeona laki tatu haitoshi afunge virago aondoke.
Mwigulu aliwakemea wahasibu wakiopeleka madeni hewa wizarani, nanukuu, tutalipa madeni, ila tutahakiki kabla, tukigundua udanganyifu mhasibu aliyeleta hesabu hizo atafute kazi nyingine ya kufanya. Pia aliwambia madiwani msihamishe wezi kwenye halmashauri bali wafukuzeni wakibainika.
5.)Mwigulu anafananishwa na Nyerere kwa kuwahurumia masikini. Nanukuu, "nafuta misamaha ya kodi ili kuwasomesha watoto wa masikini, hatuwezi kuwasamehe matajiri mabilioni kila mwaka halafu
tuwatoze wajane, masikini elfu 20 za ada na michango.
Hii akiwa na maana anaanda sera ya kufuta misamaha ya kodi ili elimu iwe bure ili masikini wasisumbuliwe ada elfu 20 na michango kibao jambo kililokuwa moyoni mwa Mwl Nyerere. Anachukia kuongezeka kwa pengo kati ya matajiri na masikini, nanukuu, " nitawatoza kodi matajiri ili niwaendekeze masikini ili kuondoa pengo la masikini na matajiri. Hatuwezi kuendelea kutoza kodi
masiki, ili kuwahudumia matajiri na kuwasamehe matajiri.
Unaweza kutokuyaona haya kwa kumchukia Mwigulu lakini kwa uchache jamas ndio alivyoonekana tangu akiwa kiranja tu Sekondari hayumbi kwenye uongozi.
Katika kuonesha Uhalisia wake kiuongozi,juzi amesema bunge livunjwe ili fedha ziende kusaidua masikini baada ya kuwakatalia wabungge kulipwa laki 7 kwa siku.
Tunahitaji akina Mwigulu Nchemba 5 tu kufanya mapinduzi ya Kiutendaji serikalini.Nchi irejee kwenye
misingi yake ya utawala bora,Elimu Safi,Huduma safi n.k.Hongera sana mwigulu umeweza kutofautisha siasa na Utendaji kazi,Tafadhali chapa kazi,Usirudi Misri.
Source Zitto Kabwe MB.
Post a Comment