HABARI ZILITUFIKIA USIKU HUU (BREAKING NEWS) LOWASSA ATUA ZANZIBAR.

Waziri Mkuu wa zamaninaMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja Jumamosi usiku, Juni 6, 2015. 

Mh.  Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015.
Mh. Lowassa, akifurahia jambo na Mzee Borafia, mara baada ya kuwasili kisiwani Zanzinzibar, akitokea Mwanza.
Wazirti Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini, kisiwani Unguja, Zanzibar, Borafia Silima Juma, (kulia), na aliyekuwa Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba, Simai Mohammed Jumamosi usiku Juni 6, 2015 mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

 Mh.  Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015.
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, (kushoto), akiwasalimia wakereketwa wa CCM, waliofika kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, Jumamosi usiku Juni 6, 2015.

 Mh.  Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015
.
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, (kushoto), akiwasalimia vijana wa Kimasai, waliofika kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, Jumamosi usiku Juni 6, 2015.

 Mh.  Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, (aliyevaa suti), akiondoka uwanja wa ndege wa Kitaifa wa Zanzibar, muda mfupi baada ya kuwasili huku akipokewa na wakereketwa wa CCM, waliofika kumlaki Jumamosi usiku Juni 6, 2015. 2015.

 Mh.  Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015.
Mh. Lowassa, akiongozana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Mh. Peter Serukamba, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar Jumamosi Juini 6, 2015
                                   (Picha na K-VIS MEDIA)

Post a Comment

Previous Post Next Post