SERIKALI YAKANUSHA KUWEPO KWA UGONJWA WA EBOLA NCHINI.


(kushoto), akikanusha kuwepo kwa ugonjwa huo kama ilivyodaiwa na baadhi  

vyombo vya habari.

Mkurugenzi Msaidizi wa Dharura  na Maafa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa
  
Jamii, Dk.Elias Kwesi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari

Dares Salaam leo wakati wakikanusha kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola nchini. 

Mkurugenzi Mkuu wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Suleiman Said 

Suleiman akizungumza namna TAA ilivyojipanga kuhakikisha hakuna msafiri

 kupitia viwanja vya ndege mwenye ugonjwa huo atakayeingia nchini bila ya

 kugundulika.

Msaidizi wa Mkuu wa Kituo cha Uhamiaji Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa

 Julius Nyerere (JNIA), Asha Omar akielezea namna Uhamiaji walivyojipanga 

kuhakikisha inawatambua wageni wanaoingia nchini hasa wale wanaotoka nchi zilizoathiriwa na ugonjwa huo.
Mkurugenzi Msaidizi wa Dharura  na Maafa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa

 Jamii, Dk.Elias Kwesi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari

 Dar es Salaam leo tarehe 15.08.2014, wakati wakikanusha kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola nchini.

Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya  na Ubora, Dk.Fausta Mosha (kulia), 

akitoa ufafanuzi wa kimaabara kuhusu ugonjwa huo.

Maofisa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakiwa kwenye mkutano huo. 

Kutoka kushoto ni Ofisa Afya Mfawidhi wa JNIA, George Ndaki,  Mkurugenzi 

Msaidi wa Ufuatiliaji wa Ugonjwa, Janeth Nghambi, Mkurugenzi wa Maabara ya 

Taifa ya Afya  na Ubora, Dk.Fausta Mosha na Mkurugenzi Msaidizi Afya na Usafi 

wa Mazingira, Elias Chinamo.

 Wanahabari na wadau wengine kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Uwanja wa Ndege wakiwa kwenye mkutano huo.

(Picha Dotto Mwaibale).






Post a Comment

Previous Post Next Post