Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IndependentPower
Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfanowa hundi
yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti wa Chama chaWaandishi wa
Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto (wapili kulia) ikiwa nimchango
wa IPTL kusaidia maandalizi ya Tuzo za wanamichezo bora nchini.
Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni ni Makamu Mweyekiti wa TASWA, Egbert
Mkoko, Katibu Mkuu, Amir Mhando na Mwanasheria na Mshauri Mkuu wa IPTL,
Joseph Makandege na kulia ni Mjumbe wa TASWA, Rehure Richard Nyaulawa.
Mwenyekiti
wa TASWA, Juma Pinto akizungumza na wanahabari baada ya kupokea fedha hizo.
Mwenyekiti
Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent
Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth akiwaeleza wanahabari furaha
yake ya kuisaidia TASWA kitita hicho cha fedha kusaidia wanamichezo ambapo nae
alikiri kuwa ni miongoni mwa wanamichezo na amewahi kuwa Mshindi wa tatu wa
Mbio za Magari Afrika.

Mbio za Magari Afrika.Mwenyekiti
Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent
Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (katikati) akiwaongoza
wanahabari kuangalia mitambo ya Kampuni hiyo ambayo inazalisha umeme. Kulia ni
Katibu mkuu wa TASWA, Amir Mhando na Kushoto ni Mwenyekiti wa TASWA, Juma
Pinto.
Power
Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (katikati) akiwaongoza wanahabari
kuangalia mitambo ya Kampuni hiyo ambayo inazalisha umeme.
Kulia
ni Katibu mkuu wa TASWA, Amir Mhando na Kushoto ni Mwenyekiti wa TASWA, Juma
Pinto.Waandishi
wa habari wakiingia kuangalia uzalishaji wa umeme katika mitambo ya IPTL.
Post a Comment