Kamanda wa Polisi wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Kamishina
Suleiman Kova akionyesha baadhi ya bunduki zilizoporwa katika kituo cha polisi
cha Sitaki shari ukonga leo wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika kituo kikuu cha Polisi Dar es salaam,

Baadhi ya Bunduki zilizo porwa katika kituo cha Polisi cha Staki Shari Dar es Salaam zikionyeshwa kwa waandishi wa habari Dar es Salaam.
Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, kamishina
Suleimani Kova akizungumza na waandishi wa habari.
Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, kamishina
Suleimani Kova akionyesha, fedha Tsh. Milioni 170, zilizokuwa zimechimbiwa shimo na majambazi hao zikiwemo na bunduki

Suleimani Kova akionyesha majina ya majambazi hao

Suleimani Kova akionyesha baadhi ya pikipiki zilizo kuwa zikitumiwa na majambazi hao

Baadhi ya askari na waandishi wakimsikiliza Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, kamishina
Suleimani Kova alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari

Post a Comment