TBL YATOA SH. MIL 124 KUDHAMINI WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

 Meneja Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kulia), akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, DCP, Mohamed Mpinga, mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 124, 6. za kudhamini upimaji wa afya za madereva wa masafa marefu nchini na kugharamia mafunzo kwa waendesha Bodaboda 300 wa Mkoa wa Tanga, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama itakayofanyika mkoani Tanga Agosti 3-7 mwaka huu. Kushoto ni Mnadhimu Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, .Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
 Meneja Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kulia), akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, DCP, Mohamed Mpinga, mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 124.6, za kudhamini upimaji wa afya za madereva wa masafa marefu nchini na kugharamia mafunzo kwa waendesha Bodaboda 300 wa Mkoa wa Tanga, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama itakayofanyika mkoani Tanga Agosti 3-7 mwaka huu. Kushoto ni Mnadhimu Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, Johansen Kahatano.Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
 Kamanda Mpinga akitoa shukrani kwa TBL kwa udhamini huo. Kulia ni Emma Oriyo wa TBL
 Baadhi ya maofisa wa Trafiki wakishuhudia makabidhiano hayo

Kamanda Mpinga akimshukuru Meneja Mawasiliano na Mambo ya Nje wa TBL, Emma Oriyo kwa udhamini huo wa TBL

Post a Comment

Previous Post Next Post