MAELEZO YABAINI NYARAKA FEKI ZA KUSAJILIA GAZETI, MTUHUMIWA ATIWA MBARONI

Mkurugenzi Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na waandishi wa habari hawapo (pichani) kuhusu kukamatwa kwa mmiliki wa Kampuniya FAKUNA ambaye anatuhumiwa kutaka kuitapeli Serikali baada ya kubainika kuwasilisha nyaraka za kughushi ili asajili Gazeti la Lete Mambo leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Msajili wa Magazeti Patrick Kipangula na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO LilianLundo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO alipokuwa akitoa taarifa juu ya kukamatwa kwa mtuhuhiwa aliyejaribu kughushi nyaraka za Serikali ili asajili Gazeti leo jijini Dar es Salaam.

Mtuhumiwa wa kughushi nyaraka za Serikali ili asajili Gazeti ambaye pia ni mmiliki wa Kampuni ya FAKUNA Bw. Joseph Sheka akitolewa ndani ya Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO punde baada ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO kumkabidhi mtuhumiwa huyo mikononi mwa jeshi la Polisi kwa ajili ya hatua zaidi.

Pichani mtuhumiwa Joseph Sheka akiongozwa na Askari Kanzu kuelekea kwenye gari la Polisi tayari kwa kupelekwa Kituo cha Polisi Kati leo jijini Dar es Salaam.Sheka anatuhumiwa kutaka kuitapeli Serikali kwa kuwasili shanyara kazakughushi katika Ofisi za Msajiwa Magazeti ilia pate usajili wa Gazeti la Lete Mambo.

WatuhumiwawakiwandaniyaGari la Polisimarabaadayakukamatwanakukabidhiwakwajeshi la Polisileojijini Dar esSalaam.WatuhumiwahaowamefikishwakatikaKituo cha Polisi cha Kati kwamahojianozaidinahatuazingine zitafuatia.

Pichana: Frank Shija – MAELEZO

Post a Comment

Previous Post Next Post