MV. MAGOGONI NA MV. KIGAMBONI ZAENDELEA KUTOA HUDUMA ZA USAFIRI KWA WANANCHI JJINI DAR ES SALAAM

Abiria wakipanda katika kivuko cha Mv. Magogoni kinachotoa huduma ya usafiri kati ya Ferry na Magogoni, leo Jijijini Dar es salaam.
Abiria wakishuka kutoka katika kivuko cha Mv. Kigamboni kinachotoa huduma ya usafiri kati ya eneo la Magogoni na Feri, leo Jijijini Dar es salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post